Mungu wa ajabu!Mwanaisha Chidzuga alamba dili nono baada ya kutemwa k24

Screenshot.from.2019.11.18.10.52.29
Screenshot.from.2019.11.18.10.52.29
Kidosho Mwanaisha Chidzuga alikuwa miongoni mwa wanahabari waliopigwa kalamu na kampuni ya Mediamax hivi majuzi.

Kuondoka kwake kwenye runinga ya  K24 kuliwafanya wengi wabaki na maswali chungu nzima kwani wengi wao hawakufahamu sababu hasa ya kutimuliwa kwake.

https://www.instagram.com/p/B3M-ISzJ4-O/

Lakini kama wasemavyo Jalali hamuachi mja wake Chidzuga anatarajia kurejea ulingoni tena kuwatumbuiza wengi.

''The big 36 was amazing #blessingafterblessingand now I know that 37 will be greater..My Lord Almighty Has already shown me my trailer just waiting for the movie that is my life blessings and destiny to Premier 17.11.2019. Inshallah .#Newbeginnings#gutsywoman#NewGoals..#Dada2DadaUncensored. My past full of lessons not mistakes..My future so bright and my present living and giving back. Chidzuga aliandika.

https://www.instagram.com/p/B44GT7iJfGJ/

Pindi tu baada ya kuandika ujumbe huu,binti Chidzuga aliandika pia,

Boom! To the ladies who are Gutsy ,Fearless, Achievers, Leading women ,Ordinary people doing extra ordinary things..The Passionate one..The one who inspires and motivates the one who believes in love or just given up on love. Je wewe.ni jasiri au mjasiriamali? Wewe ni #Dada2DadaUncensored Lets talk,Lets empower and inspire, Lets mentor and motivate, Lets smile and share a tear then pick ourself up and thrive .Iam You Mwanamke Kujiamini dada, Do we really need fixing or do we need to fix someone? The truth yes but can you handle the truth?..Join the honest conversation as we tell it as it is @Dada2DadaUncensored.#Happy37th ..And yes something is cooking 🥘 ….. 

Kama Radio Jambo tunampongeza sana Mwanaisha Chidzuga kwa dili anayotarajia na tunamtakia kila la heri.