Mwakilishi wodi Nairobi ashtakiwa kwa madai ya ulaguzi wa dawa za kulevya

Redson-Otieno-Onyango
Redson-Otieno-Onyango
Mwakilishi wa wodi ya Ngei alikamatwa na maafisa wa upelelezi jana jioni katika uwanja wa ndege wa JKIA  alipopatikana na dawa za kulevya. Redson Otieno Onyango alipatikana na dawa aina ya Heroine.

Soma hapa:

Katika chapisho la idara ya DCI katika mtandao wa Facebook jana ijumaa, kiongozi huyu atashtakiwa na kosa la ulanguzi wa dawa za kulevya.

Soma hapa :

"Mwakilishi wa wodi ya Ngei Redson Otieno Onyango leo jioni amekamatwa na makachero kufuatia kupatikana na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa JKIA Aprili 19,2019. Atashkiwa na kosa la la kulangua dawa za kulevya." DCI

Hadithi imehaririwa na kutafsiriwa na Abraham Kivuva