Bibiye apasua mbarika, kalewa na kula uroda na jamaa mwingine ili kulipiza kisasi

Je ni nini waweza fanya ili tu kulipiza kisasi kwa kwa mpenzio baada ya kuuvunja moyo wako?

Mwanamke mmoja aliwashtua waskizaji aliposimulia jinsi alivyolewa na kushiriki mapenzi na mwanaume asiyemjua ili kulipiza kisasi kwa mumewe.

Kulingana na mwanadada huyo alikuwa kwa ndoa ya miaka saba na hakuwahi kuwa na uhusiano na mwanaume mwingine maishani mwake.

Anasema kuwa kuna wakati mumewe alishiriki mapenzi na binamu yake mbali na kumletea wanawake kwake. Kila alipouliza kuhusu mienendo ya mumewe alipewa kichapo.

Hapo ndipo alipoamua kumaliza uhusiano na kunywa pombe huku akishiriki mapenzi ili alipize kisasi.

Soma usimulizi wake,

Aki niliwachana na bwana wangu na alikuwa mpenzi wangu wa kwanza na nilipowanchana na yeye sikuwa naamini naweza kuwa na mtu mwingine.

Nilienda nikakunywa, nikavuta sigara na nikakutana na msee na juu bwanangu alikuwa ananiletea wanawake kwa nyumba nikasema lazima ni revenge.

Nilikaa kwa ndoa for seven years na nilitoka hata kama sikuwa natoka na nikakutana na mtu na nikalala naye hata sikuwa najielewa. Sahii hatujaonana na watoto wangu kwa miezi miwili na hataki kujibu simu zangu.

Hakuwahi amini naweza lala na mwanaume mwingine juu hata akinioa nilikuwa 19 years na yeye ndiye mwanaume wangu wa kwanza. Sasa nilienda nikatafuta rafiki yake juu bwanangu alilala mpaka na cousin yangu na akanichapa karibu aniue.

Nilikuwa tu nataka at least nijue tofauti ya wanaume ni nini lakini nilikuwa nimelewa kwa hivyo siku