Mwanamke afichua kuwa ana tamaa ya kushiriki mapenzi na shemeji yake

Mwanamke mkenya yuko kwenye pembe za shida kwani ameolewa lakini anatamani kushirikiana kimapenzi na shemeji yake.

Akizungumza kwenye kituo cha redio, mwanamke huyu alisema kuwa anaomba usaidizi kwani amejaribu kujizuia lakini anashindwa.

      ''I WANT TO SLEEP WITH MY HUSBAND’S KID BROTHER. THIS FEELING IS TOO STRONG, I HAD TO PLAY MUSIC BUT STILL NO WAY, I HAD TO GO AND START COOKING RICE JUST TO DISTRACT MYSELF. BUT THAT DID NOT IN ANY WAY HELP BECAUSE I COULD STILL SEE HIM IN THE COACH AS HE SLEPT OFF WATCHING TV.''

Mwanamke huyu alisema kuwa hajui alianza kumtamani ndugu ya mume wake lini lakini anatamani tu kushirikiana naye kimapenzi. Zaidi ya hayo, cha kushangaza ni kuwa alisema ata asishawishiwe amrudie mume wake kwani mume wake ana chumba chake na amejifungia mle ndani.

'' MY USELESS HUSBAND IS ON THE OTHER HAND BUSY SLEEPING. BUT SHOULD I JUST DO IT AND SATISFY MYSELF THEN FACE THE CONSEQUENCES LATER. I WANT THIS BOY SO BAD. DON’T EVEN TELL ME TO TRY TOUCHING MY HUSBAND BECAUSE HE HAS HIS ROOM AND I HAVE MINE AND HE LOCKED IT. Nifanye nini sasa?''

Je ni kawaida? usisite kuorodhesha maoni yako kuhusu tatizo hili,.