Mwanangu hajafariki! Mamake Lady Maureen azungumza

Lady-Maureen-pics-696x426
Lady-Maureen-pics-696x426
Mwanamziki wa nyimbo za Ohangla Lady Maureen yupo hai, Ni usemi wa mamake mzazi msanii huyo Margaret Akinyi ambaye amelazimika kuzungumzia swala zima la taarifa ambazo zimekuwa zikishamiri mitandaoni kuwa Lady Maureen amefariki.

Taarifa za kifo cha Lady Maureen zilianza kujiri jumanne asubuhi huku watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini wakisema kuwa msanii huyo maarufu alikuwa amefariki japo maelfu ya wafuasi wake wakakanusha taarifa hizo.

Akiwa kwa mazungumzo na Mpasho,Margaret amesema kuwa mwanawe yupo hai na anaendelea kupokea matibabu.

WATU WAMEPOST AMEAGA NA BADO MTU AKO MZIMA. NASHINDWA NI NINI INAENDEA? SHE’S ALIVE AND NOT DEAD. SHE IS AT HOME RECUPERATING AND MOST OF THE TIME SHE FINDS IT DIFFICULT TO SPEAK ON THE PHONE FOR A LONG TIME SO PEOPLE CONTACT ME.

Februari mwaka huu ,Maureen aliripotiwa kuwa mgonjwa ,ugonjwa uliomfanya kupoteza uzani .

“I’M WEAK AND IN PAIN,’ SHE SAID PROMISING TO CALL LATER AFTER GAINING ENERGY.

Marget pia amekashifu hatua ya marafiki feki wa Maureen ambao wamekuwa wakifanya mahojiano na vyombo mbali mbali.

FOR THE PAST YEAR, I’VE NOT SEEN ANY FRIEND MWENYE ALIKUWA ANAKULA NAO BLUEBAND HUKO NAIROBI. WANASEMANGA KIBAYA NDIO INABAKIA MZAZI, NA MIMI NDIYE NIMEBAKIA NAYE.