Mwandishi afungwa kwa kushiriki ngono nje ya ndoa

Mwandishi wa habari wa Morocco amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kufanya ngono kabla ya ndoa na kutoa mimba hiyo. Wanaharakati wanasema kuwa hiyo ni moja ya mbinu ya kuwadhoofisha waandishi wakosoaji. Hajar Raissouni alikamatwa na mchumba wake wakati wakiwa wanatoka kliniki iliyopo mji mkuu wa Rabat mwezi Agosti. Mtuhumiwa huyo mwenye … Continue reading Mwandishi afungwa kwa kushiriki ngono nje ya ndoa