Mwendo wa kistaa sana ! Akothee awaacha Lang'ata vinywa wazi

fd0ec40a_812f_4cc8_84d2_37725e922f72__1567411033_58429 (1)
fd0ec40a_812f_4cc8_84d2_37725e922f72__1567411033_58429 (1)
Staa wa kike Afrika Mashariki Akothee aliwaacha wakaazi Lang'ata vinywa wazi baada ya kutua kistaa zaidi na magari ya hela kubwa.

Jumamosi iliyopita ni siku ya kunakili kwenye shajara kwa wakaazi Lang'ata. Akothee anadaiwa kuwa kati ya mastaa Afrika Mashariki walio na utajiri mkubwa. Staa huyu aling'aria gari fulani aina ya Limo huku karibu na karibu na bango la nambari ya usajili kumebandikwa jina lake Madam Boss.

Soma hapa hadithi nyingine:

Msafara huu ulianza hoteli ya Weston hadi uwanja wa ndege Wilson. Akothee alikuwa ameandamana na mabinti wake na idadi kubwa ya walinzi.

Staa huyu pia aliabiria ndege muda wa dakika 3 akatua hoteli ya Carnivore. Hapa alisubiriwa kuwakonga nafsi mashabiki wake katika fiesta iliyoratibishwa kufanyika.

Soma hapa hadithi nyingine:

Akothee ni staa wa pili nchini kufanya tukio kama hili baada ya Prezzo. Tazama picha hapa

Akothee thrills fans at Luo festival