Mwili wa mwanaume mwenye umri wa makamo anauguza majeraha baada ya kushambuliwa na jembe

hoe
hoe
Mwanamume mwenye umri wa makamo anauguza majeraha katika hospitali ya St Marys, Mumias, baada ya kushambuliwa kwa jembe na mkewe.

 
Josephat Masinde kutoka kijiji cha nderema eneo bunge la navakholo anadai kuhangaishwa na mkewe mara kwa mara kwa sababu zisizoeleweka.