Mwili wangu unakimu tu mwanamue aliye na pesa,Akothee asema

pjimage (5) (1)
pjimage (5) (1)

NA NICKSON TOSI

Esther Akoth almaarifi kama Akothee sasa amejitokeza na kusema kuwa hawezi kimu mwanaume ambaye hana pesa na asiye na uwezo wa kulisha familia yake.

Akothee alizishauri kuendelea kushirikiana ,kwa sababu wanaume wameanza kuwa wakora na kukwepa majukumu yao kama wazazi.

Aliwaonya wanawake wanaoishi na wanaume katuika nyumba moja na ambao hawana uwezo wa kuzilisha familia zao ,akisema itafikia wakati watakwepa majukumu hayo.

“Any man who can’t pay bills is a turn off. JOKA READ MORE 👉👉👇👇👇👇let us take care of our husbands, let's break our backs ,necks and shoulders, to make our husbands happy , men are rare species nowadays, the real ones are taken, the available ones are boys ,only boys who want to be kept are available on this streets 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️, I can’t keep Salome and keep another pet . WE NEED REAL MEN ,NOT BOYS , BOYS TO GO PLAY WITH OYOO & OJWANG

If you are living with A man and paying all his Bill's, just know the day your money is finished that idiot is going 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️, He is going mafuend” alisema Akothee.

Katika ujumbe mwengine,Akothee alisema kuwa hawezi kuwa mke wa pili akisema kuwa huwa ana kata tamaa haraka .

“Me I dont know how to become a second wife or a side chick , what will I be doing when He is gone to the other house 🙆‍♂️🙆‍♂️, waiting for him to come and we start from where we left it 🤔🤔🤔🤔🤔🤔 WOMEN ARE PATIENT I SWEAR ( it looks like papa Oyoo and papa Ojwang forgot to wish me a happy womens day 😭😭😭) they won’t see their children in summer time” alisema Akothee.

_