'Nahitaji kujipa nguvu ili niwashughulikie wasichana wangu,' Mkewe Kobe Bryant asema

vanessa.bryant
vanessa.bryant
Mkewe marehemu gwiji wa mpira wa kikapu, Kobe Bryant, bi Vanessa Bryant bado anasononoka kufuatia kifo cha mumewe na mwanawe, Gianna aliyejulikana kama Gigi.

Kupitia mtandao wake wa Instagram, mama huyo wa wasichana wanne aliandika jinsi kuhusu uchungu anaopitia kama mzazi na kama mjane, huku akikumbuka nyakati za furaha walizokuwa pamoja kabla ya vifo vyao.

Alichapisha kanda ikimuonesha mwanawe aliyekuwa na miaka 13 pamoja na wachezaji wenzake katika uga wa mpira wa vikapu huku KObe Bryant akiwashangilia.

Aliandika,

I’VE BEEN RELUCTANT TO PUT MY FEELINGS INTO WORDS. MY BRAIN REFUSES TO ACCEPT THAT BOTH KOBE AND GIGI ARE GONE. I CAN’T PROCESS BOTH AT THE SAME TIME. IT’S LIKE I’M TRYING TO PROCESS KOBE BEING GONE BUT MY BODY REFUSES TO ACCEPT MY GIGI WILL NEVER COME BACK TO ME. IT FEELS WRONG. WHY SHOULD I BE ABLE TO WAKE UP ANOTHER DAY WHEN MY BABY GIRL ISN’T BEING ABLE TO HAVE THAT OPPORTUNITY?! I’M SO MAD. SHE HAD SO MUCH LIFE TO LIVE. THEN I REALIZE I NEED TO BE STRONG AND BE HERE FOR MY 3 DAUGHTERS. MAD I’M NOT WITH KOBE AND GIGI BUT THANKFUL I’M HERE WITH NATALIA, BIANKA AND CAPRI. I KNOW WHAT I’M FEELING IS NORMAL. IT’S PART OF THE GRIEVING PROCESS,’ SHE WROTE IN PART.

Aliongeza,

I JUST WANTED TO SHARE IN CASE THERE’S ANYONE OUT THERE THAT’S EXPERIENCED A LOSS LIKE THIS. GOD I WISH THEY WERE HERE AND THIS NIGHTMARE WOULD BE OVER. PRAYING FOR ALL OF THE VICTIMS OF THIS HORRIBLE TRAGEDY. PLEASE CONTINUE TO PRAY FOR ALL.

Misa ya ukumbusho ya wawili hao itafanyika Februari tarehe 24, 2020.

https://www.instagram.com/p/B8ZavYwDZ5y/?utm_source=ig_embed&utm_campaign=embed_video_watch_again