Naibu rais amtakia Margaret afueni ya haraka baada ya kulazwa hospitalini

DP-ruto-margaret-wanjiru-e1590308963748 (1)
DP-ruto-margaret-wanjiru-e1590308963748 (1)
Naibu wa rais William Ruto amemtakia afueni ya haraka aliyekuwa mbunge wa Starehe na mhubiri Margaret Wanjiru baada ya kulazwa hospitalini kutokana na virusi vya corona .Akiandika ujumbe huo kupitia kwa ukurasa wake wa Twitter,Ruto amesema kuwa pesa zilizotengwa na serikali na amabzo zilitangwa na raisa Kenyatta kama njia ya kufufua uchumi zitasaidia katika vita dhidi ya virusi hivyo hatari.

“We are determined to do everything within our God given capabilities to check the spread and defeat Covid-19 and the  will mitigate the economic damage caused. We stand with those being treated. Quick recovery gallant soldier of the Lord Bishop Wanjiru,” umesoma Ujumbe wa Ruto.

Ujumbe wa Ruto ujiri saa chache tu baada ya serikali kudhibitisha watu 22 walioambukizwa virusi vya hivyo na kufikisha idadi ya maambukizi nchini kuwa watu 1,214.

Kufikia sasa wizara ya afya nchini imewapima wakenya 59,650 .