NAIVASHA: Mwanaume mmoja akamatwa kwa kulawiti na kuua mchungaji mifugo

Polisi Naivasha wamekamata mwanaume mwenye umri wa miaka 45 ambaye inasemekana alilawiti mchungaji mifugo mwenye umri wa miaka 25 kabla ya kumua. Mshukiwa huyo alikamatwa katika eneo cha biashara cha Suswa ambako alikuwa anajificha tangu kufanya kitendo hicho wiki iliyopita. Kufikia sasa, haijulikani mbona mwanaume alishambulia mhasiriwa.