Nameless ampasha Massawe baada ya kuanguka katika jangwa la Dubai

Msanii na rafikiye Massawe Japanni, David Mathenge, almaarufu Nameless, alikuwa miongoni mwa watu mashuhuri waliomkejeli na kumcheka mtangazaji huyo. Kisa na maana? Alianguka akiendesha pikipiki katika jangwa la Dubai. Kwa mda wa majuma mawili sasa, Massawe amekuwa Dubai kwa likizo pamoja na marafiki zake ambao wamekuwa wakijivinjari kwa njia tofauti. “Madereva wa Uturuki ndio wasiojali zaidi … Continue reading Nameless ampasha Massawe baada ya kuanguka katika jangwa la Dubai