'Namkosa Raila,' Huddah Monroe afunguka waziwazi

Kidosho Huddah Monroe alifunguka wazi wazi kuwa amemkosa sana kiongozi wa chama cha ODM bwana Raila Odinga.

Binti huyu amepata fursa ya kukutana na wanaume wengi ambao ni mashuhuri nchini ikiwemo mtoto wake Raila Odinga.

Huddah na mtoto wake Raila Odinga.

 
Zaidi ya hayo, binti huyu aliandika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii ambao unaweza kufanya wengi washangae.

Huddah aliandka kuwa amemkosa kiongozi wa ODM bwana Raila Odinga na kuzidi kusema kuwa, hafai kuhukumiwa au kuulizwa maswali mengi kwani aliammka tu na kuhisi anakosa Raila Odinga.

‘Don’t judge me, I just woke up missing the old man lol! Missing is a feeling we should all embrace ….’Aliandika.