mwanafunzi JKUAT

Nani aliyemuuwa mwanafunzi wa JKUAT? KOT wataka majibu

Ni vifo vya kutatanisha zinazo tokea maeneo mbambali nchini, vijana wengi wanapoteza maisha yao kwa njia isiyojulikana, swali ni je lini vifo hivi vita koma?

Wananchi hawakulaza damu bali aliweza kuelezea hasira zao kupitia mtandao wa kijamii wa twitter kuhusiana na mauaji katika chuo kikuu cha Kenyatta cha kilimo na teknologia.

Kulingana na wanafunzi, msichana huyo aliyekuwa katika mwaka wake wa kwanza aliweza kupigwa Alhamisi usiku katika hoteli ya Seagull karibu na shule.

Police and family differ over drunk lovers’ death

Mwanafunzi ambaye jina lake halijatajwa aliugua majeraha katika hospitali ya JKUAT. Viongozi wa JKUAT (JKUSA) walimuandikia OCPD wa eneo hilo Simon Thirikwa kuhusu mauaji hayo.

Katika barua ambayo walioandika waliweza kumsihi OCPD kuwapa ruhusa wafanye maandamano ya amani ijumaa 9:00 asubuhi.

“Hii ni kukujulisha kuwa wanafunzi wote watakuwa na maandamano ya amani kufuatia mauaji kadhaa ambao yalitokea katika eneo hili mauji ya juzi ilifanyika Alhamisi karibu na hoteli ya Seagull,” Barua ilisoma hivo.

Wanafunzi hao waliweza kutuma jumbe za kimombo katika mtandao wa twitter kama zifuatazo;

“This is the saddest thing ever when your parents are waiting for you to graduate, get a job & help them! But what is brought to them is your lifeless Body. May her soul RIP,” Moseax aliandika.

 mwanafunzi JKUAT
mwanafunzi JKUAT

“Students at JKUAT must unite like UoN used to do during the reign of Babu Owino and fight these heinous acts by the police. Rallying their anger through social media is cowardly and not as effective as demonstrations,” Felixnderie alisema

“These are innocent lives. One lady was stabbed to death yesterday. This is one too many. When will this ever stop? what if am next? Lucy Kamunya alisema.

“Please, stop killing University students, Our mothers and fathers in the village are waiting for a degree, please don’t take a corpse to them. It pains to hear how a dream of a young lady was ended last night,” Cymon aliongea.

Ilikuaje: Arrow Bwoy aeleza changamoto alizopitia kama mtoto wa mke wa pili

“It’s about that time comrades to Stand and Stop this matter in solidarity Peace and Security comes first,” Ian Duncan alinakili.

“As a digital journalist, I have covered over 4 deaths at JKUAT from October to date alone. Those stories keep me up every day. Because I am also a student and I keep wondering if I’ll be next. So today I won’t just write; I’ll take to the streets too. “Ann aliandika.

“A people united shall never be defeated. We are going to remind the people of Juja that comrades are the only!! Shareholders of the GDP of this town, So we demand respect and protection from the police. We are being killed like chicken.”@ Maestro

“We cannot continue losing students like this when Juja police station is just under our noses.” Nick Willian alizungumza.

“We will not sit and watch our lives being brought to an end by killers at such very early hours. We must resist these heinous acts.” Freeze aliandika.

I apologize for the agony I’ve caused my team mates – Afc Leopards captain Kamura

“At around 7-9pm, Several Juja P. Station Police are sent around Juja town in Pairs to collect bribes from the many bars that operate within Juja near JKUAT. These bars are then allowed to operate 24/7 unlawfully and harbour thieves and idlers,” Mutwiri alisema.

Jumatatu moto uliweza kuwaka katika chuo kikuu cha JKUAT, na kuharibu mahali pa maakuli ya wanafunzi saa 4 asubuhi.

2017 mwanafunzi wa miaka, 22, wa chuo hicho aliweza kupatikana akiwa amekufa, ripoti zilisema kuwa alikuwa ameteteshana na ndugu yake juu ya Weetabix kabla ya kufa.

Polisi waliweza kupata sehemu za mwili wake zikiwa zimetolewa na kufichwa katika paa la nyumba maeneo ya kahawa sukari.

Photo Credits: the star

Read More:

Comments

comments