Wimbo huo wa Mejja na Femi One ulitamba baada ya Azziad kuucheza katika challenge spesheli ambayo iliwateka wengi katika tiktok
Baada ya video ya Azziad, watu wengi walijaribu kufanya kama yeye bila mafanikio. Femi na Mejja wanafaa kumshukuru Azziad kwa umaarufu ambao ameuletea wimbo wao katika kipindi kifupi baada ya kuifanya video yake
Zari ambaye kwa sasa anaishi Afrika kusini ameweka mtandaoni picha yake akionekana kuburudika na kibao hicho hatua ambayo ilimpendeza Femi One aliyeamua pia kuishare video hiyo katika instagram
Femi aliandoka ;
“@zarithebosslady jamming to Utawezana. Keep watching the video,”
https://www.instagram.com/p/B_NaEoUFfSS/
Zari alijibu akisema ameupenda wimbo huo ..akiandika ;
“Gotta love this track,”
zarithebosslady Gotta love this track
femi_one @zarithebosslady Thank you Zari
brendamomo_ @zarithebosslady manze hii umeweza mbaya jo
wawira_ke @zarithebosslady kukupenda nayo
pedi_wa_boondocks @zarithebosslady @diamondplatnumz akiwezanaaaaaa
missidependent_boss_chic @zarithebosslady why I love zari
dvan_dennis @zarithebosslady Amka ata unengue viungo zari mammi kukaa Haiwes na utawezana.