Napigana na msongo wa mawazo,Miss Cashy asema

Cashy
Cashy

NA NICKSON TOSI

Msani wa kufoka almaarufu kama [Rapper] Cashy Karimi ama Miss Cashy amefunguka na kusema kuwa amekuwa akipigana na msongo wa mawazo kutokana na kutokuwepo kwa Baby daddy aliyempachika mimba na changamoto ambazo amekuwa akipitia kumlea mwanawe.

Kulinganna na Cashy ,hali hiyo imemfanya kuwaza kuhusiana na maisha ya badaye mwanawe kijana ,hali ambayo imemfanya kuwazia maisha yake na mwanawe.

Cashy aliwapongeza wazazi wanaowalea wanao pekee yao bila ya kupata msaada wowote kutoka kwa wale waliokuwa wapenzi wao.

Aliwasifia pia wale watu wanaotekeleza kila jambo ili kuwasaidia wanaojipata katika njia tatanishi kama hiyo ili kufanikisha maisha ya wenzao.

“I cried for 3 hours before this picture was taken, but who posts pictures of their tears?... lol

I cried because I feel very deeply for the wellbeing and future of my son. As a mom, I battle sooo much with anxiety and then pride, especially when it comes to dealing with an absent 'other parent'. It gets overwhelming, and I think moms/dads are superheroes for handling their own emotions.. While still being fully present for their kids and being kickass cool parents. Power to everyone who manages to smile through the waves, Power to the men/women who step in to help raise these kids, and power to everyone else who holds our hands. ❤ Special love to all you moms doing your best,” Aliandika Cashy.