Nataka kuwa na mtoto 2020; Corazon Kwamboka asema

corazon
corazon

NA NICKSON TOSI

Mwanasosholaiti Corazon Kwambo amesema sasa anapania kuwa na mtoto mwaka katika mahojiano moja na runinga ya humu nchini.

Haya yanajiri baada ya mfwasi wake mmoja kupiga simu na kuuliza iwapo anapania kuwa na mtoto .

“ kindly ask Corazon if she would like to have a baby in future" Aliuliza shabiki.

Mfanyabiashara huyo alisema mitandao ya kijami nchini imemwaribia taaluma yake ya uwakili kutokana na kudunishwa na watu katika mitandao hiyo.

Alieleza kuwa kutokna na matusi hayo mitandaoni ilimfanya kuogopa kutafuta ajira kwa kile alihofia kuwa angeajiriwa baada ya jina lake kuaribiwa mitandaoni na baadhi ya wafwasi wake.

“it made me not practice law. I feel that at some point, I was being misjudged in a way so I kinda pulled back from the law. I didn’t even want to go look for a job because I was scared 'how will they even give me the job' and also it affected a lot of my relationships since I became Corazon Kwamboka the socialite," Alisema Kwamboka.

_

Kwamboka pia alisema kuwa amekuwakwa mahusiano na jamaa wengi japo huofia maisha yao kutokana na jumbe za kimitandao ambazo watu hutumu wakielezea tabya zake za kustaajabisha.

I’ve dated but usually the guys get insecure because of the comments on social media and the perception they get..they feel like yeah I know you in person but few months down the line the insecurity kicks in, they start asking why is this guy sending you a message, why are you going to the club?” Alisema Kwamboka.

Alipoulizwa kuhusiana na jinsi anatunza mwili wake ,Kwamboka alijibu kwa kusema kuwa watu wa familia yao huwa na miili mikubwa na hivyo watu wasimchukulie kama aliyeratibu ama aliyekunywa dawa za kuongeza uzani ili kuwavutia wanaume.

Akiulizwa iwapo ana ujumbe wowote kwa vijana wa jinsia yote alikuwa na haya ya kusema ,

“Do not waste time on things that don’t make you happy because we are here for a short time, be happy do whatever makes you happy,".

 _
_