Natural beauty ,'Wasanii wa kike wanaofuga nywele fupi za kiasili

Wanawake wengi kwa kawaida wanapenda sana urembo wa nywele huku wakisongwa mitindo tofauti na rani tofauti katika vichwa vyao, lakini si wote wanaofuga nywele hawa hapa baadhi ya wasanii wa kike ambao wanafuga nywele zao za kiasili.

Akothee 

Ni msanii ambaye anafahamika sana kwa nyimbo zake na hata kwa kuwakosesha wengi usingizi kwa ajili ya urembo wake.

Huddah Monroe

Mmmh!! kwa hakika ana urembo usio na mwingine, huddah kwa kawaida nywele yake kila wakati huwa na mtindo wa kipekee na inakalia freshi kabisa.

Kirigo Ng’arua

Alituonyesha upande wake mwingine wa kutokuwa na nywele za kubandika bali ana nywele za kiasili.

Emmy Kosgei

Mashabiki wake wamemzoea na nywele zake za kiasili, msanii Kosgei huwa na nywele rembo sana

Terryanne Chebet

Walisema urembo wa mwanamke ni nywele lakini kwa hakika urembo wa aliyekuwa mtangazaji wa Citizen Chebet umetokea kila mahali awe ana nywele au la.

Vivian Kenya

Ni msanii ambaye ameimba nyimbo zake akiwashirikisha wasanii tofauti, amewaacha wengi wakimwaga mate kwa sababu ya urembo wake.

Ajuma Nasenyana

Amefahamika kwa kazi yake ya mashindano tofauti ya mfano.

Lupita Nyong'o

hawezi sahulika katika orodha hii, ni mwene urembo wa kiafrika na wa kipekee

Rue Baby

Kwa hakika amefuata mtindo wa mama kwa kutosonga nywele yake.