Nazizi asherehekea miaka 10 ya kuzaliwa kwa mwanawe

naziziz-son-3-600x600
naziziz-son-3-600x600
Miaka 10 iliyopita, msanii Nazizi alijifungua mvulana kwa jina Tafari Firoz, jambo ambalo lilimfanya kutumia muda wake kumtakia kila la heri mwanawe huyo anapoadhimisha miaka 10 ya kuzaliwa.

Akichukua fursa hiyo, Nazizi aliandika katika mtandao wake wa Instagram akimshukuru Mungu kwa kumzawidi kijana huyo.

Give thanks to the most high. Despite the pandemic we were able to celebrate @tafari_firoz 10TH birthday at home. It was definitely different without all the kids running around shouting aunty NAZ!! Thanks to my family for all the support in raising the young Lion. Love you all.

Katika ujumbe mwingine, Nazizi alitundika picha ya mwanawe huyo akiwa anasherehekea miaka 10 na kumtakia kila la heri katika maadhimisho yake.

I’10 yrs ago at 1pm I delivered a baby boy. His 15 mins old in this video.

Now how did the time fly by ??? I love you son may you have many more Inshallah. Happy 10th birthday’ aliandika Nazizi

Tazama video.