''Nchi yangu imeniaibisha,''Wakenya watoa maoni yao kuhusu janga la feri ya Likoni

72114358_2384131401624420_2603974225580523520_n
72114358_2384131401624420_2603974225580523520_n

Wakenya wengi wamehuzunika na kusema wazi maoni yao baada ya janga la feri kuzama bahari hindi.

Wengi walisema kuwa, wasimamizi wa feri za Kenya hawakufanya lolote ili kuokoa maisha ya mama na mtoto wake waliozama.

Vilevile, jeshi la kenya la wanabahari, ''Kenya Navy'' limewashangaza wakenya kwani mpaka wa sasa, hawajaweza kupata miili ya marehemu hawa ilhali kazi yao ni kuokoa maisha na kulinda nchi endapo adui anatoka majini.

  

Waliohusika kwenye mkasa huu ni mama na mtoto wake.

Mama mwenye umri wa 35, jina lake Marriam Kigenda na binti yake, Amanda Mutheu mwenye umri wa miaka 4.

Wawili hawa walizama kwenye bahari hindi baada ya gari kuteleza na kuzama  kwenye maji.

Tazama orodha ya maoni ya wakenya kuhusu janga hili

@KenyanProject: I’m trying to imagine those horrifying last seconds when the victims realized that for sure this is it…No one’s coming for us… We’re sinking… And their loved ones who’ve been left watching this traumatizing video clip. I am crushed. I’m ashamed of my country.

@MirerahGeorge: It is purely unacceptable and heartbreaking to see our fellow suffering taxpayers that pay for your salaries to keep your jobs at KFS plunge Into the deep ocean without help. In the 21st century, this is total nonsense.
@nasirkenya: It’s sad that this had to happen. Total negligence on the part of KFS. But let us also be realistic here. The depth of the channel goes as deep as 100m, keeping in mind the undercurrent and not forgetting the poor visibility underwater.
@CMboha: It took some good time for the car to sink into the water if the rescue team was standby those people could have been rescued.
@MurimiMwihaki: Ngaiii….yaani it can be seen slowly disappearing? This means an even bigger accident would leave so many people dead.
@Kimutaileon1: It seems they sent to watch what goes on it’s shameful to them.
 Ama kwa hakika, kisa hiki kimewakereketa wengi maini.