SAMSON

”Tupatieni mwili wa mpendwa wetu”Familia yaomba uongozi wa mochari

Familia moja inayoishi kwenye nyumba ya udongo katika kitongoji duni cha Mwakio karibu na milima ya Shimba iliomba mochari ya Kijabe itoe mwili wa mpendwa...
cccc

Je, unafahamu jina linalotumiwa kuita pesa mtaani kwako?

Unafahamu lugha ambayo inatumiwa sana sana na vijana mitaani wakati pesa inatumika kuuza au hata kununua bidhaa mbali mbali? Naam basi majina hayo ni vizuri...
ng'anga

Siezi jitoa uhai na nimwache mke wangu! Pastor Ng’ang’a asema

Mwanzilishi wa Neno Evangelism, mhubiri Ng’ang’a katika video amesema kuwa hajapanga kujiua kama inavyo daiwa na mashabiki wake. Kulingana na mhubiri huyu, alisema kuwa ana...
millie odhiambo

Mbunge Milllie Odhiambo azungumzia kukosa mtoto

Mbunge wa Suba Kaskazini Millie Odhiambo amefunguka na kusema yote kuhusu utasa wake na machungu ambayo amepitia maishani mwake kwa kukosa kupata mtoto. Akizungumza siku...
SINGLE.L

Kibaki alinitajirisha nikiwa na miaka 16. Mwanamziki Single L afunguka

Mwanamziki wa kaunti ya Meru, Bi Single L asema kuwa, aliyekuwa rais wa kenya, Mwai kibaki alimtajirisha na kumfanya milionea akiwa na miaka 16. Lynn...
Kambua-Cover

Je, wamjua mwanamziki stadi Kambua? Soma umfahamu zaidi

Kambua Manundu si mwanamziki wa nyimbo za injili pekee yake bali pia ni mke wa bwana  mmoja na mama wa mtoto mmoja. Vilevile, Kambua anapenda...
gidinaghost

Patanisho:Shemeji amwibia mume wa dadake pesa kwenye akaunti

Hivi leo kwenye kipindi chetu cha patanisho, Binti mmoja, jina lake Irene Atieno alipigia Gidi na Ghost na kuomba Radio Jambo impatanishe na mume wake...
Cohen

Fuvu la kichwa cha Cohen lilipasuliwa na wauaji wake

Wauwaji wa aliyekuwa bwenyenye wa mchezo wa gofu Tob Cohen walivunja fuvu la kichwa chake, mguu wake wa kushoto na mkono wake alipokuwa anajaribu kupigana...
sankok (1)

Mbona niombe msamaha kwa kumualika Akothee bungeni? – Sankok

Mbunge David Sankok amekiri kuwa hawezi omba msamaha kwa kumualika Kidosho bi Akothee, mwanadada mwenye miguu mirefu bungeni ili aweze kupatana na wabunge wenzake na...
iandghost

Jamaa Migori akojolea kitanda baada ya kunyimwa tendo la ndoa

Kama wewe ni shabiki sugu wa kipindi cha Gidi na Ghost Asubuhi, basi unajua bayana kwamaba kila siku ya wiki kabla ya kitengo cha Patanisho,...
akothee

Daah! Akothee azua balaa bungeni kwa kuvaa nguo fupi

Mwanamziki stadi Akothee, alizua vurugu siku ya Jumatano baada ya kuenda bungeni na nguo iliyokuwa fupi kupitia kiasi. Akothee alikuwa amenda bungeni kumsalimia mbunge David...
extra

Rais Magufuli apendezwa na wimbo wa Sauti sol ‘Extravaganza’

Wimbo wa sauti sol “extravaganza” umesifiwa na Rais wa Tanzania John Magufuli akisema kuwa wimbo huo kutoka kwa vijana hao, unampa msukumo. Ni maneno ambayo...
rashid

Lulu Hassan afunguka na kusema kuwa yeye na mumewe hukosana

Watangazaji stadi, Lulu Hassan na Abdalla Rashid wa Citezen Tv hufanya kazi pamoja, wakati mmoja na wengi hupendezwa na uzuri wao. Wapenzi hawa wamebarikiwa na...
relationship

Mwanamke afichua kuwa ana tamaa ya kushiriki mapenzi na shemeji yake

Mwanamke mkenya yuko kwenye pembe za shida kwani ameolewa lakini anatamani kushirikiana kimapenzi na shemeji yake. Akizungumza kwenye kituo cha redio, mwanamke huyu alisema kuwa...
hid

OCS adaiwa kuficha nguo ya washukiwa korokoroni

Watu wawili walifikishwa kortini Jumanne wakiwa uchi. Watuhumiwa hao walielekeza lawama kwa OCS wa Kamukunji kwa kuwadhalilisha, na kuwalazimisha kuvua nguo zao na kuzichukua. Peter...
janet

Acheni aitwe Mungu! Janet Mbugua asherehekea mwanawe

Janet Mbugua na mpenzi wake Eddie Ndichu washerehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wao wa pili. Janet na mumewe walikuwa na furaha tele kwani ni...
KIRUBI

Chris Kirubi asimulia safari yake na saratani

“Saratani yangu iligunduliwa kimakosa.”   Haya yalikuwa maneno ya kwanza ya mfanyibiashara Chris Kirubi akizungumzia kwa mara ya kwanza kuhusu vita vyake dhidi ya saratani. Takriban...
sili

Samaki mwenye hasira asaidia polisi kuwakamata wauza dawa za kulevya

Polisi nchini Australia wanaamini wamewakamata wanachama wa mtandao wa kimataifa wa wauza dawa za kulevya – kwa msaada wa mnyama mwenye hasira wa baharini aitwaye...
sonko

Mwanamke Dandora, ajifungulia nje ya hospitali kwa kukosa shilingi 20

Gavana Sonko aliwasimamisha nesi wawili kazi kwa mda mtaani Dandora kwa kumwacha mama aliyekuwa karibu kujifungua ajifungue mtoto wake nje ya hospitali kwa kukosa shillingi...
KIGALI 1

Mkenya afungwa jela kwa kuwatapeli wanyarwanda

Mjasiliamali raia wa Kenya amefungwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kuwatapeli Wanyarwanda wengi wao wakiwa ni vijana. Mahakama ya kigali imemhukumu Charles Kinuthia...
tao

Jamaa watatu wakamatwa kwa tuhuma ya wizi wa magari

Polisi wame wakamata watu watatu ambao wanadaiwa kushirikiana kuiba gari huko mjini Eldoret. Hii ni baada ya ongezeko la visa vya wizi wa magari mjini...
chicken

Mhudumu wa bodaboda auawa baada ya kuiba kuku wanne

Mhudumu wa bodaboda ambaye alikuwa na miaka 26 aliuawa jana jioni na umati uliojaa hasira katika kijiji cha Kandeto eneo la Munyeki Ol kalaou. Eric...
Kanyari 1

Nani alijua kuwa Kanyari anaweza kuwa na binti mrembo hivi?

Je mwakumbuka Pastor kanyari? Mwajua kuwa ana watoto? Kanyari na Betty Bayo aliyekuwa mke wake, alijulikana sana kwa vurugu iliyokuwa kuhusu mambo yake ya kupanda...
sad

Nilinyang’anywa mke na Shamba boy – Reuben

Je waweza hisi vipi mke wako akinyakuliwa na jamaa mwingine? Isitoshe akinyakuliwa na mfanyikazi wako? Basi jamaa kwa jina Reuben aliwacha mtangazaji, Massawe Japanni na...
lost child

Kijana mkenya aliyepotea apatikana baada ya usaidizi wa Roma

Kijana mkenya aliyepotea apatikana na kurudi kwao baada ya picha yake kuchapishwa kwenye mitandao ya kijamii ya timu ya Italia ya AS Roma. Picha ya...
Esther Passaris

Passaris afanyiwa upasuaji wa mgongo

Mwakilishi wa wanawake wa Nairobi Esither Passaris amefanyiwa upasuaji iliofaulu katika hospitali ya Aga Khan Nairobi. Passaris alilazwa siku ya Jumatatu baada ya kuhimili maumivu...