rip1-696x353

Kifo hakina huruma! mcheshi Otoyo aomboleza

Anafahamika sana kwa ucheshi wake, leo hii ameandika katika mtandao wake wa kijamii akimuomboleza mume wa dada yake yaani kaka mkwe wake. Otoyo hakuandika sababu...
jambazi-1

Kama Movie :Tazama picha za jinsi Majambazi 7 Walivyopepetwa na polisi Isinya

 Majambazi saba  wameuwa na polisi  kutoka kutoka kikosi maalum cha kupambana na uhalifiu kutoka idara ya DCI  ambao waliwafuta kutoka  Nairobi hadi  Isinya huko Kajiado....
70433687_1519631588179614_2569166103716797544_n(1)

TBT:Wasanii wa kike wa nyimbo za Reggae unapaswa kuwajuwa

Hawa walienda wapi, muziki wa reggae unapendwa sana na watu wengi, muziki huu ulianza enzi za kama huku ukifuatalia utamaduni. Nyimbo za reggae zinaaminika kama...
photo

Picha ya siku: Kosa kazi ujue tabia za mkeo

PALLASO

Alazwa;Ndugu wa Jose Chameleon amelezwa hospitalini baada ya kuvamiwa

NA NICKSON TOSI Ndugu wa msanii Jose Chameleone kwa jina  Pius Mayanja almaarufu kama  Pallaso amelazwa hospitalini katika taifa la Afrika Kusini baada ya kuvamiwa...
ETHAN MACHARIA 1

Please Help! Mvulana wa Miaka amwandikia barua ya huzuni rais Kenyatta

Mvulana mwenye umri wa miaka mitano Ethan Macharia  amemwandikia barua rais Uhuru Kenyatta  baada ya yeye na mamake kukwama nchini India kwa wiki kadhaa  wlaiposhindwa...
Tina Mwambonu

Wafahamu? Wanahabari waliobarikiwa sura na sauti

Wanahabari huwa katika mstari wa mbele endapo watakosa ama watapatikana katika shida yeyote, lakini pia  sura na sauti zao huvutia hung’ata masikio ya wengi. Hawa...
DianaMarua_1024x883__1561560717_17621

Eti? Nakojoa nikiwa kwa Swimming pool,Asema Diana Marua

NA NICKSON TOSI Malimwengu haya,mke wa Bahati Diana Marua amepasua mbariki kwa kusema kuwa kila wakati anapokuwa kwa kidimbwi cha kuogelea yani Swimming pool huwa...
nzige

Uganda: David Obala apeleka nzige bungeni ili kuangazia janga hilo

Video ya mbunge mmoja wa Uganda aliyebeba na kupeleka nzige bungeni imesambazwa katika mitandao ya kijamii. David Obala ambaye anaiwakilisha kaunti ya Ngora Mashariki mwa...
45080622_2172761239424327_5763205813212545024_n

Viroja!Alikuwa na maiti iliokuwa inampa pesa-yaya wa pangani afichuwa siri ya mwajiri wake

Ni ndoto ya kila msichana kusoma hadi chuo kikuu na kupata ajira kujikimu kimaisha, lakini kwa Penninah Awuor ilikuwa kitendawili kwake kutojuwa kuwa siku moja...
MAMA LUCY HOSP

Uchungu wa mama: Mama azungumzia kuuawa kwa mawanawe na polisi

“Mama hafai kumzika mwanawe, ni mtoto anayestahili kumzika mamake akiwa mzee, yauma sana, hasa ikiwa mwanao ameuawa kinyama.”   Haya yalikuwa matamshi ya mama Sarah...
Screen-Shot-2018-04-26-at-7.42.46-AM-348x216

Ni mara ngapi unaongea na baby mama wako? Diana amuuliza Bahati

Msanii wa nyimbo za injili Bahati na mkewe Diana Marua wamekuwa wakipost filamu mbali mbali katika mitandao yao ya kijamii huku wakiulizana maswali na kuyajibu....
rue baby

Ulizaliwa nyota kwa hivyo ng’aa! Akothee amsifu Rue Baby

Akothee ni miongoni mwa watu maarufu ambao husherehekea uzazi kila siku ya maisha yao. Hakuna siku hupita kabla ya mama huyo wa watoto watano kuchapisha...
Dennis-Yego-59-696x418

‘Rip to me,’ Mwanaume ajiua baada ya kuandika ujumbe wa kujiua

Wananchi katika mtandao wa kijamii wamebaki mdomo wazi, baada ya mwanaume aliyefahamika kama Yego Dennis katika mtandao wa kijamii kuandika ujumbe wa kujiua na baada...
patanishoo (1)

PATANISHO: Kama tunarudiana mimi ndio first lady! – Anita

Anita, 26, alituma ujumbe akiomba apatanishwe na baba mtoto bwana Robert akidai kuwa wawili hao walikosana mwaka wa 2016. “Alikuwa boy wangu na wakati nilimuambia...
86776555_790554214779032_6030732608751534080_o

Fake friends? Papa Dennis azikwa huku wasanii wakikosa kuhudhuria mazishi

Msanii wa nyimbo za injili Papa Dennis alizikwa jana nyumbani kwa wazazi wake Matunda jimbo la Likuyani kaunti ya Kakamega, msanii Dennis aliaga dunia wiki...
spurs

Spurs waoneshwa kivumbi, West Ham yakabwa na Man City

Kevin de Bruyne alisaidia na kufunga bao moja Manchester City walipowanyuka West Ham 2-0 katika mechi yao ya kwanza tangu kupigwa marufuku ya miaka miwili...
cheating-married-696x418

Ajabu;Nina mume lakini nampenda mume mwingine ambaye ana mke

Ndoa na kuchumbiana kwa wakati huu sio kama ndoa za zamani zilizopewa heshima na hata kufuata utamaduni wa jamii yao. Mwananmke mmoja aliandikia mshauri mmoja...
Moha 2 (1)

Kazi safi! Angalia picha za kituo Kipya cha polisi kilichojjengwa na mbunge Mohammed Ali

Mbunge wa Nyali Mohammed Ali amezichapisha picha za kituo kipya cha polisi cha  Nyali kilichojengwa na pesa za mfuko wa hazina ya CDF ,anazosimamia ....
mbusii.na.lion

TOBOA SIRI: Napiga mke wa mfanyikazi mwenzangu kuni

Mara kwa mara habari nyingi zisizokuwa za kupendeza moyo ni za mabosi au waajiri kushiriki ngono na wake wa wafanyikazi wao. Hata hivyo sio mara...
Kiambu (1)

Gavana wa Kiambu James Nyoro amateua Joyce Ngugi kama naibu wake

Gavana wa Kiambu James Nyoro amemtaja  Joyce Ngugi kama  naibu wake na pia kutangaza baraza lake la mawaziri . Tangazo hilo lilifaa kutolewa wiki jana...
dj-mo-and-size-8..-e1518609102285-696x426

‘Mlihifadhi pesa ngapi kwa benki?’ shabiki amuuliza DJ Mo na kumjibu kwa ukali

Baada ya sherehe ya siku ya wapendanao illioandaliwa  na msanii  wa injili Size 8 na mumewe DJ Mo na picha kuenea sana katika mtandao wa...
Wahubiri (1)

Matata sana!Wahubiri hawa ni wazushi ,matajiri na sarakasi zao kuhusu Neno la mungu ni tele

Afrika  imeshuhudia  aina mpya ya wahubiri ambao wamejipata katika vichwa vya habari kwa njia mbazo sio za kawaida .wengi wao ni kutoka Nigeria ,Afrika kusini...
65441959_2370500376530703_5882879429996980950_n

Wasanii wa kenya ambao watoto wao wana majina ya kipekee

Wasanii wengi huwa katika mstari wa kwanza katika habari waendapo kubarikiwa na watoto, lakini si wote ambao wana majina ya kipekee baadhi ya watoto hao...
Viagra_in_Pack

Mzee, 78, apatikana amefariki huku dawa za kusisimua uume zikipatikana

Mwili wa miaka 78 ambaye ni mwalimu mstaafu umepatikana kitandani katika mojawapo ya lodging zilizo katika mji wa Nyamira, kaunti ya Nyamira, siku ya jumanne....
IMG_9748(1)

Ilikuaje: Mume wangu alifariki dakika nne baada ya kunipigia simu-Sarafina DeMathew

Sarafina De Mathew ambaye ni mjane wa msanii wa nyimbo za kikuyu alichukuwa fursa yake na kuja studioni katika kitengo cha ilikuaje kuelezea  jinsi mume...