Nikikupea Utawezana? Bintiye Akothee,Rue baby amthubutu MCA Tricky

MCA Tricky  aliachwa kinywa wazi wakati binti yake msanii Akothee  Rue Baby  alipomthubutu kwa kumuuliza iwapo atawezana endapo angempa ‘tunda’ la raha .

Aliiweka picha yake na maandishi;

‘NAJUA HAIKO LAKINI NIKIKUPEA UTAWEZANA ’

MCA Tricky alijibu kwa kusema

‘  NITAWEZANA, RUE BABY NAKUAGA NIMEKUKUFAAA ’

Ofa yake hiyo inajiri siku chache baada ya video ya  binti zake Akothee kusambazwa sana mitandaoni .

Akothee alikuwa ametishia kuwaitia polisi wanawe  ambao walikuwa wamewasili kutoka uwanja wa ndege na walikuwa wamekataa kujitakasa ili kujikinga dhidi ya virusi vya Corona

Rue Baby,  alikuwa wa kwanza kumkimbilia mamake ili kumsalimia  lakini akadinda akisema ;

HAVE YOU SANITIZED? HAVE YOU WASHED YOUR HANDS? TAKE OFF THOSE CLOTHES AND TAKE A SHOWER. YOU JUST CAME FROM THE AIRPORT AND YOU WANT TO HUG ME. THE SEATS AT THE AIRPORT HAVE CORONAVIRUS.

TAKE A SHOWER AND EVEN GET INTO THE POOL AND DISINFECT,’ SHE TOLD RUE BABY.

Wanamitandao hawakukosa kuweka sauti zao kwa ofa hiyo ya Rue Baby kwa MCA Tricky.

 samndech: wewe labda utawezana ama utaanza kuimba regge

mndech: wee wacha mambo ya kukufa unajua corona ilitoa matanga. ..utawezana?

 arakejohn_: utawezana ama uliweza

 seinsarah96:  bora Okonkwo asikuwe na kitambii periodt!

  emutua521:  atajaribu.