Nikipata mwamume wa kunilipua kuni ya kutosha vilivyo nataka niwe na watoto 3 - Tanasha

Siku chache tu baada ya taarifa kuchanika kuwa Tanasha na mpenziwe wa zamani Diamond wameanza kuwa na mazungumzo tangu kuachana, sasa Tansha anadai kuwa akili zake zipo sawa na anapania kuafikia vitu vingi maishani.

“You know when I left that relationship, unajua mimi niko na weakness ya kureact saa zingine, it’s one of my weaknesses. I felt like at the moment coz I’m on Instagram, tuko kwenye social media and that’s what is helping me earn my coins, and I felt like I would be spending most of my time there and if I follow all these people nitakuwa na constant reminder of what I was going through.”  Amesema Tanasha.

Ameongezea kuwa siku hizi uhusiano baina yake na Diamond umeimarika na hata wanasaidiana kumlea mtoto wao baada ya kuwa na tofauti kwa muda mrefu.

“Right now I have healed and me and the father of my son we are okay, we are in talking terms. We are not enemies, we are in communication for our son and I respect him very much and everyone that he works with but at that specific time, you know when you are going through a breakup, you are going through pain and I felt that what will help me ease the pain nikawa-unfollow ili nisione constantly what’s happening,” Tanasha Donna.

Akiwa kwa mahojiano na stesheni moja ya humu nchini, msani huyo wa wimbo wa sawa amesema akipata mwanamume wa kumlipua vizuri angependa kuwa na watoto watatu maishani.

Nikipata mwanamume mzuri mie natamani saana kuwa na watoto watatu, japo kwa sasa naangazia mziki na sitaki uhusiano saizi, alisema Tansha .