''Niko tayari kuwa na watoto,''Harmonize amuambia mpenzi wake Sarah

harmonize.696x524
harmonize.696x524

Mwanamziki nyota kutoka Tanzania ako tayari kuitwa baba.

Harmonize akimtakia mpenzi wake heri njema ya siku yake ya kuzaliwa, alimwambia mpenzi wake kuwa yuko tayari kuwa na familia.

''MORE LIFE LOVE YOU WIFE ❤❤🎊🎉🍾 SUPER WOMAN @SARAH__TZ GOT YOU 4 LIFE IM’ READY FOR ,’ Ujumbe wa Harmonise kwa mpenzi wake Sarah.

Biti huyu  naye ambaye anaonekana kuwa mwenye mahaba mengi aliandika ujumbe wa kumjibu mpenzi wake Harmonize na kusema,

''THANKS MY LOVE ❤️❤️❤️ MY HUSBAND I LOVE YOU MORE AND MORE 😍😍❤️I WISH THIS LOVE IT WILL BE FOREVER FOR ALL OUR LIFE❤️.''

Mbali na hayo,huu mwaka, Harmonize alimtema Diamond Platnumz na timu yake ya WCB miezi michache iliyopita na katika  mahojiano na Vyombo vya habari, Harmonize alisema kwamba hapakuwepo uhusiano mzuri na mwanamziki Diamond ambaye alikuwa rafiki yake wa chanda na pete.

''IT IS NO LONGER A SECRET THAT I AM NOT IN GOOD TERMS WITH WCB MANAGEMENT. I WOULDN’T WANT TO LIE THAT ALL IS WELL.'' Harmonise alisema.

Zaidi ya hayo, alisema kuwa alilazimishwa kulipa kiasi kukubwa cha pesa kabla ya kuitema lebo ya WCB.

MY CONTRACT WITH WCB STIPULATED THAT I PAY THEM TSH500 MILLION TO BE ALLOWED TO LEAVE THE COMPANY IF MY 15-YEAR AGREEMENT WITH THEM HASN’T ENDED. THAT MONEY, THE CONTRACT SAID, WOULD ALLOW ME TO OWN THE COPYRIGHTS TO MY NAME AND MUSIC PRODUCED UNDER THE WASAFI OUTFIT.

Harmonize alifunguka wazi na kusema kuwa haikuwa rahisi kwake kupata hela zile lakini aliona ni heri auze mali yake ili aweze kutoka kwenye lebo ile ya WCB.

''I DID NOT HAVE THE MONEY, WHEN I DECIDED TO LEAVE WCB [IN AUGUST THIS YEAR], AND THEREFORE, I HAD TO SELL MY THREE HOUSES, SEVERAL POSSESSIONS TO RAISE THE NEEDED TSH500 MILLION. AS I AM SPEAKING TO YOU, WHAT I OWE THEM IS VERY LITTLE.'' Harmonize alisema.

Mhariri: Davis Ojiambo