Niliavya mimba aje na Otile alikuwa anamwaga kila kitu ndani yangu! Vera asema

NA NICKSON TOSI

Baada ya kunyamaza kwa muda kuzungumzia madai yaliyofichuliwa na mwanamziki Otile Brown,Vera Sidika sasa amefungaka na kudai kuwa hakuavya mimba yoyote alipokuwa kwa uhusianao na Otile na ametupilia mbali madai hayo akisema kila wakati alipokuwa anampea msanii huyo kisima cha asali, alikuwa anahakikisha kuwa amemwaga ndani kila kitu.

Vera anasema, hatua ya kukosa kupata ujauzito alipokuwa kwa uhusiano na Otile ni  kutokana na tabia za msanii huyo kuwa za kitoto ambazo zilichangia kwa yeye kuanza kutumia dawa za kumkinga dhidi ya kupata mimba.

Otile kwa upande wake baada ya kuachana na Vera alisema, chanzo cha kuachana na kichuna huyo ni hatua yake ya kuavya mimba na hata kuandika hivi kwenye mtandao wake wa kijamii.

Mama nakujua, usijifanye eti hujui tatizo mimba yangu ulitoa.

Kwa upande wake Vera alipusilia madai hayo akisema .

Tulikuwa tunashiriki ngono kila mara na kila wakati alikuwa anahakikisha kuwa amemwaga ndani kila kitu kama njia ya kunifanya nipate ujauzito. Jambo hilo lilinifanya nisimwamini hata na nikaamua kutumia dawa za kuzuia kupata ujauzito. Aliandika Vera.

Wote wawili waliamua kuishi maisha yao baada ya kuachana na kwa sasa, Vera anamchumbia jamaa kutoka Nigeria.