'Nilichagua kujisamehe," Babu Owino asema kuhusu kisa cha Dj Evolve

Kwa mara ya kwanza, mbunge wa Embakasi mashariki, Babu Owino amezungumzia baada ya kisa ambacho alimpiga DJ Evolve risasi shingoni, B club Januari 17.

Akizungumza katika mahojiano ya moja kwa moja na kituo cha Capital, mbunge huyo alihepa kuzungumzia swala hilo ila alichokisema ni kuwa jambo hilo ni kati yake na mungu.

Alipoulizwa iwapo ana majuto alisema,

THAT MATTER AS YOU ALL KNOW, AS KENYANS KNOW IS A MATTER THAT IS SUBJUDICE. IT IS A MATTER THAT IS BEFORE A COURT OF LAW AND A MATTER BEFORE A COURT OF LAW SHOULD NOT BE DISCUSSED, AS MUCH AS I WOULD LOVE TO DISCUSS AND TALK ABOUT IT.

SECONDLY, IT IS A MATTER THAT IS BETWEEN ME AND GOD AND I CHOSE TO FORGIVE MYSELF AND I WANT TO TELL YOU, WE CANNOT CHANGE THE PAST BUT WE CAN CHANGE THE FUTURE. LET US FOCUS ON WHAT IS COMING IN THE FORESEEABLE FUTURE, LET US NOT DWELL SO MUCH IN OUR PAST BECAUSE WE CAN’T CHANGE IT NO MATTER HOW MUCH WE’D WISH TO CHANGE IT.

Hili lawadia baada ya Babu Owino kushtumiwa kutolipa bili ya DJ Evolve ya hospitali ambayo kwa sasa imepanda hadi milioni saba na alipoulizwa alisema,

AGAIN I WOULD NOT WISH TO DWELL ON THAT, MATTERS BILLS, I WILL PAY AND I’LL LEAVE IT AT THAT,’