Nilifunga ndoa na Rachel sio Uhuru Kenyatta, Ruto asema

uhuru and ruto
uhuru and ruto
Siku ya alhamisi, naibu wa Rais William Ruto alitupilia mbali madai kwamba ndoa yake ya kisiasa na Rais Uhuru Kenyatta imeisha.
Ruto badala yake alisema kulingana na vile anajua ni kuwa ameoa mke mmoja - Rache - na sio mtu mwingine yeyote.

"I have heard many stories, and I have read many headlines - the marriage has died... bromance, and love. My friend, Uhuru Kenyatta is married to Margaret; and I am married to Rachael," alisema.

Ruto alikuwa akijibu swali kuhusu uhusiano wake na Rais Uhuru Kenyatta katika chama cha Jubilee wakati wa mahojiano na runinga ya NTV.

Aliongeza, "There is no marriage business here. We were elected by the people of Kenya to do a job. Uhuru Kenyatta as president, me as his assistant. What you should be asking me is, ‘are you delivering on the job you were given by Kenyans?".

Ruto tena alitupilia mbali madai kwamba serikali inamuumiza.

"I have heard the narrative that I am fighting the President but many people who are running the narrative are people in NASA. They have never voted for Uhuru Kenyatta but are now inciting him against me," alisema.

Aliongeza, "When Uhuru was looking for someone to support him in 2013, everyone refused including Kalonzo Musyoka, Musalia Mudavadi and Eugene Wamalwa, but I was willing to stand by him."

Mawazo yake yanakuja wakati wa mazungumzo juu ya hali ya uhusiano wake na Uhuru.