'Nilikopa nusu millioni kulipia mpenzi wangu nyumba na kuanza kuishi na baby mama wake -Mwanamke Asimulia

Ni kwa kila mwanamume au mwanamke kuthibitisha na kuhakikisha mwenzake amepata mafanikio endapo wanapendana. Hawakukosea waliposema kuwa mtu anaweza kufanya chochote kwa ajili ya mapenzi.

Kama mazungumzo hayajazidi, je ni jambo lipi ulimfanyia mpenzi wako na mwishowe anakuacha kwa jambo lisilo na maana ilhali lile ulimfanyia ni zaidi na lile amekuacha na kuanza kufanya.

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii, mwanamke mmoja alieleza jinsi alikopa nusu millioni kumlipia mpenzi wake nyumba kwa maana alikuwa amepata kazi na kisha akaanza kuishi na mwanamke mwingine aliyekuwa na mtoto wake yaaani kwa kimombo 'baby mama.'

"I borrowed nearly half a million for him to rent an apartment because he got a new job in a new city.Dude actually moved into the new apartment with his baby mama."

Wengi walieleza mambo ambayo walipitia na kuwafanyia wapenzi wao ilhali uhusiano wao haukudumu kwa sababu moja au nyingine.

Haya hapa mambo yao;

Chinedu:I'd saved all my stipends to buy a guitar and because I was eyeing one babe, I gave the guitar to her brother who has never returned it till this day.Of course, I never even got to date the babe. Smh.

iamtopmaestro:I was a poet back in High School. I'll write poems for my crush to give her crush.

Olamide:My daily allowance in uni was about 3k per day.I spent most of that calling my boyfriend who was abroad at the time.I couldn't afford most of the stuff I needed. Of course, we didn't end up marrying each other.

Adeola:I scammed my parents for money in Uni and bought my boyfriend a 43K wrist watch.I actually do not regret it.