Nilikosa 'sanitary pads' na nauli,' Size 8 Akumbuka maisha yake ya awali

size 8
size 8

Msanii Size 8 na mama wa watoto wawili kupitia mtandao wa kijamii aliandika vile maisha yake ya awali yalikuwa ya shida na ufukara uliyokolea.

Kupitia akaunti yake ya instagram, Size 8 aliandika ujumbe ufuatao huku akimshukuru Mola kwa yale amemtendea.

"Uuuuuwwwii this is me woi before I met Jesus for real 🙊🙊🙊 sent me waaaaa hata mimi an shocked uuuuuuwiiii and me after wards uuuuuuuuuuuuuuuwwiiiii Yesu Yuko anatenda my testimony how my life has changed wewe usikatetama ..... ati wanasema hakuna yesu .manze my life is evidence uuuuuuuuwwwwwwiiiiiiii.... I love you Jesus you have carried me thru it all woi forgive me for murmuring and complaining forgive me for not seeing just how far you have brought me and how much you have graced me changing my story wow I bless you Jesus none like you. I will forever praise you my Lord and saviour. I will forever testify of your love for me. Our might Man of war who be like you!. Aliandika Size 8.

Aliendelea kueleza jinsi alikosa sodo akiwa msichana na hata nauli ya basi huku akimshukuru Mola kwa maana sasa hivi ana gari na hajakosa chochote.

"From never affording sanitary pads to my face being on a pack of pads. From lacking bus fare to owning my own car. From lack of food to a full tummy how I bless you Jesus My God of all creation my life belongs to you......... What am I trying to communicate to you guys is this manze God anaweza change life yako please usi give up. My life is a testimony it's just not about the physical body you see only but more so much more in my life God has done wonders am almost in tears as I write this. Let's give God glory...."

Ni ushuhuda ambao uliibua hisia mbali mbali,

kelvinwanji thank you Jesus…I can also give a testimony…God is able

annilisa_wa_pk Mungu sabuni ya roho❤️😍

sherahkarry Before DJ Mo and after.

janani_ngii Enzi za shamba boy.

jackiepaula I love your transformation gal..Keep on Trusting and Serving this God you are an inspiration to me and many.

Mhariri: DAVIS OJIAMBO