Nilikuwa na 6,000 wakati wa kulipa mahari ya mke wangu-Njugush akiri

Njugush ni mcheshi ambaye amefahamika kwa muda mfupi katika sekta ya usanii,ameweza kuweka kazi yake ya uscheshi katika kiwango kingine pamoja na mke wake Celestine Ndinda.

Lakini safari yao ya kujulikana nchini kote haijakuwa rahisi, wapenzi hao wawili ambao wana mtoto mmoja wa kiume mambo yao hayajakua rahisi bali wamepitia hali ya juu na chini.

"Now when we came here in 2014, I was hoping ile 500 nilikua nayo ingetosha..well I was in for a surprise.When for the 1st time aliona I took her to a date somewhere with walls open air dates were the thing…(well cause of how our pockets were setup)…"Njugush alisimulia.

Yafuatayo ni mambo ambayo watu wengi hawajui kuhusu wapenzi hao wawili;

Katika miezi ya kwanza baada ya mke wake kujifungua Njugush aliweza kumuosha mtoto wake kwa maana Celestine aliona kuwa anaweza kumuangusha mtoto huyo.

Pili nikuwa Celestine aliweza kufanyiwa utoaji wa dharura kwa maana waliweza kuambiwa na daktari mtoto hayuko salama,hii ndio maana Njugush hakua katika chumba hicho.

Wakati wa kulipa mahari ya mke wake Njugush aliweza kupatwa na ajali ambayo alienda kugonga lori nyuma licha ya kuwa katika ajali aliweza kufika katika sherehe hiyo ya kulipa mahari.

Wakati wa kulipa mahari aliweza kupeleka shillingi 6,000 kwa sababu hizo ndizo alikuwa nazo,aliwezam kuacha kazi baada ya Abel kutoka na kuhangaika akitafuta kazi zaidi ya mwezi mmoja.

Pia alisema kuwa wakati tu huo wa kulipa mahari Abel aliweza kumpa mshangao kwa kumpea bunda la noti na kutosha kila kitu ambacho kilikuwa kinahitajika siku hiyo ya kulipa mahari.