kansiime

Nilimsaidia mume wangu kulipa mahari – Anne Kansiime

Mwigizaji kutoka Uganda, Anne Kansiime amesema kuwa alimsaidia aliyekuwa mpenziwe, Gerald Ojok katika kumaliza mahari yake.

Kansiime with her current boyfriend Skylanta

Akihojiwa na kituo kimoja cha Televisheni nchini Uganda, Kansiime amesema kuwa,

“Nilimtuhumu mtu fulani kwa kunioa kwa muda mrefu mpaka dunia, yeye na hata mimi tukaamini kuwa ni ukweli.”

Alisema kuwa yeye alijua baadaye kuwa baada ya kuoa, huo ndio wakati mwanaume huamka na kuanza kulipa mahari ya mkewe kisha kumpeleka kanisani ila hakuna lolote lililowahia kutokea kwangu mimi.

“Nilikuwa nimeolewa lakini niligundua baadaye kuwa nilijilipia mahari yangu. Hata hivyo,kwa sasa mimi ni mwanamke mwenye uwezo wa kujitegema.”

Photo Credits: courtesy

Read More:

Comments

comments