‘Niliona chuma yake ya doshi nikazirai. Singewezana. ’ Kahaba asimulia mambo anayopitia katika kazi yake.

Virusi vya corona vimewaharibia watu wengi kazi  na biashara zao hasa baada ya serikali kutangaza marufuku ya kutotoka nje nyakati za usiku na hata kuzuia usafiri katika maeneo mengine .

Miongoni mwa watu walioathiriwa vibaya na janga la corona kwa sababu shughuli zao za kujipa kipato zimesitishwa ni makahaba. Wengi sasa wameamua kuendeleza biashara hiyo majumbani mwao na kukutana na wateja kupitia mtandaoni. Mmmoja wa  wanawake wanaofanya kazi hiyo hata hivyo amesimulia kisa ambacho kitakufungua fikra ujue baadhi ya changamoto ambazo makahaba hupitia .

Dora(sio jina lake halisi) amekuwa kahaba  kwa miaka takriban saba na uzoefu wake unaheshimiwa na wateja wake wa tangu jadi na hata chipukizi ambao wamejiingiza katika biashara ya kuiuza miili yao. Sio rahisi kwa kahaba kuacha mteja lakini yaliompta Dora maajuzi, yamewaacha wenzake wakimcheka na wengine kumhurumia. Dora alileta kwake mteja ambaye alikuwa na Chuma ya doshi kubwa na yenye urefu wa kutisha .

‘Alipotoa nguo na kubaki uchi, nilifikiria ninaota. Nilichoona kilinifanya nizirai. –Katika miaka mingi ya kufanya ukahaba, sijawahi kumwona mwanamme mwenye kifaa kikubwa na kirefu kama hicho.’ Dora anasema

Yote yalianza  wiki moja iliyopita  wakati Dora alipopewa nambari na rafiki yake, aliyesema kwamba mteja huyo alikuwa akitaka  mtu wa kula raha naye wakati huu  ambapo watu wengi wana muda mwingi nyumbani na hawana cha kufanya. Mwanzoni, alishanga mbona Stella* alikuwa akimpa mteja na miaka yote hiyo wamekuwa wakikosana kwa sababu ya kupokonyana wateja. Kwa sababu biashara  ilikuwa mbaya hakuwaza kuhusu hilo na akakubali kumpigia mteja huyo na kukubaliana  kuhusu siku yake kuja ili kula raha zake .

‘ Tukiwa kazini, katikati mwa jiji, wakati mwingi ukipata mteja unaanza kumpapasa hadi kwenye sehemu   zake za uchi ili ujue doshi yake inatoshana vipi, lakini kwa sababu nilikuwa nyumbani , ilikuwa vigumu kutumia muda wa kuanza kumshikashika, tulikubaliana kwamba atatumia muda wa saa moja na hatukutaka kupoteza dakika zozote. Alivyoingia tu hivi, akavua nguo na ndiposa nikapatwa na mshangao.’ Dora anaeleza .

Dora anasema chuma ya doshi ya jamaa huyo ilimfanya kuanza kuumwa na tumbo na kamwe hangekubali aweze kumtilia popote, alijiambia hata iwapo walisikizana kuhusu kiasi cha juu cha fedha, jamaa yule angemuacha na majeraha. Alipopata fahamu baada ya kuzimia kama kwa dakika 10 hivi, Dora alitafuta kijisababu ili asiweze kushiriki ngono na Yule mteja .

‘Immediateley  nilipoamka, nilimpata amevalia vesti yake lakini doshi yake ilikuwa imesimama tisti , ameningoja nifunue macho. Nilishikwa na woga na nikamweleza kwamba sikuwa najihisi vizuri. Nilimuambia tufanye siku nyingine kwa sababu sikuwa nimemeza dawa zangu.’ Dora  anasimulia

Mteja wake alidamka mbiombio kwa sababu ya hasira na kwa vile hamu zake  zilikuwa zimepanda. Hakutaka tena kumuangalia Dora na akavalia nguo zake na kutoka .

Ni wakati ule akiwa pekee yake  chumbani ambapo Dora alipogundua ni kwa nini rafiki yake Stella alikuwa amempa mteja yule. Kumbe alijua kiasi cha chuma yake na hivyo alitaka kumtesa kwa kumtumia  dudu ambalo hangeweza kulibeba. Makubwa!