Nilisikitika sana wakati Size 8 aliniambia anaokoka-Bien Azungumza

Msanii wa bendi ya Sauti Sol Bien Amie akiwa katika mahijiano alizungumzia vile alisikitika sana baada ya msanii wa nyimbo za injili Size 8 alimfahamisha anaokoka.

Kulingana na bien msanii huyo aliokoka akiwa katikati ya ziara ,na kwa hakika hajawahi ona mtu wala kupatana na mtu aliyeacha pesa nyuma kama vile Size 8 alifanya.

“Nilikuwa disappointed hio time, because sijawahi ona mtu akiwalk away from pesa hivyo. Yaani ni kama alichukua milioni kama 50 akaweka kwa choo na akaflash… huyu dem aliokoka in the middle of a tour."Alieleza Bien.

Wakati hup pazia ya Sauti Sol iliinuliwa na ziara ya kampuni ya Safaricom,kwa upande mwingine Size 8 alisema kuwa kufahamika kwa sana alipokuwwa akiimba nyimbo za kidunia kulimfanya asombwe na mawazo chungu nzima.

Size 8 akizungumza alisema kuwa mahusiano yake hayakuwa yanaendelea vyema na kila siku alikuwa katika msukumo wa kufanya vyema kila kuchao.

Aliongeza na kusema kuwa alipeza sana jina lake la Linet Munyali.

“Immediately I got what I wanted, I started slipping into depression I cannot explain it. All that time I was a secular artiste sijawahi kunywa pombe hata siku moja naenda kwa bar nakunywa pekeangu. My relationships were not working, everywhere naonekana, I’m glowing but I am not myself, I’m so under pressure to be better than I used to be. I don’t have real friends, I started becoming a person I didn’t like and I remembered that happy girl who was in State House girls who was so happy so bubbly and I missed that born again girl. That Linet Munyali. I just missed being loved for Linet not for Size 8." Alizungumza Size 8.

Wawili hao walikuwa wanazungumza wakati wa Size 8 akieleza safari yake ya wokovu ya miaka saba sasa na kisha kuwa msanii wa nyimbo za injili.