'Niliwatupia jiwe!,' Arrow Bwoy asimulia alivyowatenganisha wazazi wake wakipigana

arrow bwoy
arrow bwoy
Licha ya kuwa mmoja wa wanamuziki maahiri mno humu nchini tangia kuzinduka kwake na ngoma, Digi Digi Kile ambacho wengi hawatambui ni kuwa alipitia mengi akiwa mtoto.

Akizungumza na mwanahabari Betty Kyallo, Arrow Bwoy ambaye jina lake halisi ni Ali Yusuf, alifichua kuwa alilelewa kwa familia iliyojaa fujo tele.

Alifichua kuwa alikuwa kwenye familia ya mitala (polygamous) ambapo babake alikuwa na watoto 24. Bwoy alikuwa na ndugu wawili huku wengine 21 wakiwa wa mama tofauti.

Mamake ni mzaliwa wa Uganda huku babake akiwa mluhya kutoka humu nchini.

Mamangy na babangu walikuwa wakipigana sana! Msanii huyo alimweleza Betty Kyallo.

Alikuwa amechoka kuona wazazi wake wakipigana na kilichomuumiza zaidi ni wakati wenzake wa shule walikuwa wakimdhihaki baada ya kushuhudia wazazi wake wanapigana.

"VITA VYAO VILIKUWA VIBAYA SANA HADI WANAFUNZI WENZANGU WALIKUWA WAKINIDHIHAKI WAKISEMA: BABA YAKO HUMPIGA MAMA YAKO KILA SIKU," Alisema.

Aliongeza,
KUISHI KATIKA MAZINGIRA YALE KULIATHIRI MASOMO YANGU NA MAISHA YANGU KWA JUMLA.

Hata hivyo, siku moja Arrow Bwoy aliingilia kati wakti ambapo wazazi wake walikuwa wanapigana na hilo halikuenda vyema.

Akisimulia kisa hicho alisema,

I HAD JUST ARRIVED HOME FROM SCHOOL WHEN I SAW MUM AND DAD FIGHTING EACH OTHER OUT IN THE OPEN. I GOT SO ANGRY, BUT I DID NOT HAVE THE PHYSICAL STRENGTH TO SEPARATE THEM. YOU KNOW WHAT I DID? I PICKED UP A VERY LARGE STONE, AND WHEN THEY HAD CREATED A FAIRLY BIG GAP BETWEEN THEM, I THREW THE STONE IN THE SPACE BETWEEN THEM. THE STONE SMASHED AGAINST A WALL, AND THEY IMMEDIATELY STOPPED FIGHTING. THEY, THEREAFTER, LOOKED AT ME, WITH EACH OF THEM ACCUSING ME OF WANTING TO HIT HIM OR HER.

Visa vya wake kupigwa na bwana zao zimekuwa zikiongeza hivi majuzi na msanii huyo aliwashauri wapendanao, wawe wakisuluhisha mambo yao kama watu wazima badala ya kutumia vita.

MARITAL PROBLEMS OR RELATIONSHIP WRANGLES CANNOT BE SOLVED THROUGH PHYSICAL FIGHTS, NEVER. I URGE COUPLES TO SIT DOWN AND AMICABLY SOLVE THEIR DIFFERENCES WITHOUT RESORTING TO VIOLENCE