Nimeishi nikimlipua mamakwe Lungula sawa sawa! Asimulia jamaa

Cheating-husband-696x418
Cheating-husband-696x418
Mwanamume mmoja wa miaka 45 amesimulia namna amekuwa akimlipua mama mkwe lungula kwa miaka licha ya kuoa binti yake.

Jamaa huyu ambaye jina lake tumelibana amesema mazoea ya kumlipua mama mkwe yalianza tu baada ya kuwajulia hali na hivyo mazungumzo baina yao yakaanza kunoga.

Uhusiano wangu na mama mkwe ulianza pale alikuja kututembelea nyumbani. Tukaanza kuwa na mazungumzo kiundani saana, mazungumzo ambayo wakati mwingine yalikuwa yanaisha hata saa 10 usiku, jambo hilo lilinifanya kuanza kuzoeana na yeye sana. Amesema jamaa huyo

Kulingana na tukio hilo sasa jama huyo anakiri kuwa wamekuwa wakishiriki ngono kwa muda na mama mkwe, jambo ambalo anasema limekuwa vigumu kwake kulitupilia mbali.

Nimetamani sana kuacha tabia hii lakini kila ninapojaribu kuisahau kabisa, nashindwa na huwa najikuta naanza kumfikirikiria kila mara. Amesema Jamaa huyo.

Kwa sasa jamaa huyo amemwandikia mshauri wa uhusiano akitaka kumsaidia na mawaidha ya namna anavyoweza kuacha tabia hiyo.

‘I HAD SEX WITH MY MOTHER-IN-LAW IN APRIL AND AFTER THAT I TRIED TO FORGET ABOUT IT BUT I COULDN’T STOP THINKING ABOUT HER. . I  CAN’T STOP THINKING ABOUT HER. LAST WEEK SHE CALLED ME TO HER HOUSE AND WE HAD SEX AGAIN. I BLOK HER NUMBER BUT I END UP BLOCKING HER AND CALL,’ amwandikia mshauri wa uhusiano

Wakenya baada ya kusoma ujumbe huo walikuwa na haya ya kusema.

secret_toolz So ur mother in law is your side chick

Only Jesus can save

dami Where was your wife when all this was happening???. Ahn God don’t use my husband to punish me for my sins and mistakes. This one is cursed.

_edithakinyi You are cursed