Nimejifunza kuyafanya mambo yangu kwa siri, Tanasha asema

Tanasha Donna ametoa ujumbe baada ya mpenzi wake wa zamani Diamond Platnumz zamani Zari Hassan kumwambia waatachana na Diamond baada ya kufunga ndoa na Diamond.

Zari na Diamond walifunga ndoa ya siku ya Mandela katika sherehe ya siri iliyohudhuria na marafiki wa karibu na jamaa.

Tanasha amechukukulia ushauri wake Zari kwa uzito baada ya kumwambia kuwa ataachwa na kipenzi chake na alisema hivo kutokana na uzoefu wake na Diamond Platnumz.

Tanasha alimjibu na kusema,

Kuna kitu kimoja nimejifunza ya kuwa nayafanya mambo yangu kwa siri.

Katika siku chache zilizopita, Zari alimsemezesha Diamond Platnumz kwa kukosa kuwapa watoto wake msaada wa kifedha na hisia za mzazi.

Zari anasema kuwa Diamond huwa hawajuli watoto wake hali.

Soma mengi