'Nimepata pesa huwa zinanipotelea,’ Wakenya wazungumzia kuwa karantini na wapenzi wao

Wananchi wengi sasa wapo kwenye karantini kama ilivyoashauri serikali watu kufantyia kazi nyumbani

Si wengi  walipendezwa na pendekezo hilo la kufanyia kazi nyumbani

Hii ilikuwa kwa sababu ya Kenya kuthibitisha kisa cha kwanza cha virusi vya corona machi 13.

Wengi wao wamekuwa wakizungumzia vile wamekuwa katika karantini na wapendwa wao.

Kupitia mtandao wa kijamii mcheshi  mc Jessy aliposti na kuwauliza nini wanachopitia wakiwa karantini

"WHAT IS THAT ONE THING YOU’VE DISCOVERED HAPO KWA NYUMBA DURING THIS PERIOD." Jessy Aliandika.

Haya hapa majibu yao.

omaya.doris Nimepata tupesa zenye hunipotelea.

reypatrp Ati kumbe nakuaga na neighbors me hudhani nakuaga solo whole plot.

Hesbon Sunguti My wife is beautiful.

Perris Mclaren Kami You wake up 10 am you take your breakfast at 11am you omit lunch.

halakejoseph Bra chini ya mattress.

ferdinandmarckos And my duster is being shared by the whole plot members.

robert.mworia I can cook better than my wife.

bridgitta Hii tamaa ya pombe ni peer pressure ya maarifa😪.

biancamuna Manze nakula sana.

John Mumo that you’ll discover that hubby doesn’t just go one round. The side chick usually makes him tired🤭.