Nina bahati kuwa maishani mwako - Njugush asherehekea mkewe Celestine

Katika ujumbe wa mwigizaji Njungush kwa mke wake, Njugush alimsifu sana mke wake na kusema kuwa, kwa miaka saba ambayo wameishi pamoja.

Maisha yamekuwa mazuri sana na hakuna siku ambayo atachoka kuishi naye na atazidi kuwa na ndoto pamoja na mke wake, kwani ndoto zote ambazo wanaota pamoja huwa zatimia.

Kupitia mtandao wake wa Instagram, Njugush aliandika,

HAPPY BIRTHDAY RARE ONE WATUGI…….7 YEARS LATER AND LIFE KEEP GETTING BEAUTIFUL WITH YOU. I’M SO LUCKY TO BE IN YOUR LIFE. CHEERS TO MANY MORE YEARS OF LAUGHTER, LOVE, AND LIFE.

DREAMING WITH YOU @CELESTINENDINDA IS SOME BEAUTIFUL IDEA…BECAUSE THOSE DREAMS ALWAYS COME TO PASS NO MATTER HOW IMPOSSIBLE THEY SEEM, AND I’M NOT PREPARED TO STOP DREAMING BY YOU, WITH YOU AND FOR YOU AND THAT LIL CHAMP TUGIDEH. LET’S DO THE IMPOSSIBLE!!!!THANKS FOR BEING THE GREATEST SUPPORT SYSTEM ANYONE WOULD WISH FOR!!!! HAPPY 27

MTUNGUYAZ.

Kwa niaba ya Radio Jambo, Tunamtakia Celestine Ndinda ,Heri njema ya siku yake ya kuzaliwa Jalali azidi kumzidishia miaka na heri nyingi duniani.