Nitaanza kutreat watu vile watakuwa wakinitreat-Willis Raburu Asema

WILLIS WIFE
WILLIS WIFE
Kwa muda sasa, mtangazaji Willis Raburu amekuwa akiandika jumbe za kushangaza katika mtandao wake wa kijamii wa instagram.

Jumbe hizo ziimewaacha wengi wakishuku kuwa hayuko sawa katika maisha yake.

Ujumbe mmoja alioandika Willis ulikuwa unanakili kuwa,

“From this point ill be treating people exactly how they treat me.Someshould be glad and some should be scared.” Wllis Aliandika.

Aliendelea na kuandika,

“Even if you hear a bad story about me, understand there was a time I was good to those people too

But they wont tell you that part.”

Katika ujumbe wake mwingine ulisoma hivi,

“Dont underestimate me. I know more thani say, think more than I speak and notice more than realize.” Aliandika Willis.

Jumbe za Willis zinakuja masaa machache tu baada ya mke wake kufutilia mbali akaunti zake za mitandao ya kijamii.

Baada ya Willis na mkewe Marya kupoteza mtoto wao, walipitia magumu na hata kukashifu Mungu kwa maana alinyakuwa mtoto wao.

Jumapili, Marya alihudhuria ibada kanisani na kuandika,

“Today was my first time to attend church in along time, walked in and my eyes just welled up with tears

I missed being among brethren praising and worshiping together, I had an amazing time.” Aliandika Marya