Nitakupa ''kisima cha asali'' ndio uwachane na mimi! Huddah amwambia Khaligraph

pjimage (11) (1)
pjimage (11) (1)
NA NICKSON TOSI

Cheche za maneno baina ya Huddah Monroe na Khaligraph Jones zaendelea katika mitandao ya kijamii, na sasa mwanasosholaiti Huddah Monroe amedai atampa kisima cha asali Khaligraph Jones ndiposa awachane na yeye.

Mzozo baina ya wawili hao unajiri baada ya Khaligraph kudai kuwa Huddah alidinda kushika simu yake, swala ambalo liliibua mzozo baina yao.

Khaligraph aliandika haya baada ya Huddah kudinda kushika simu yake.

"Huddah masimu hashiki, anadhani mimi najaribu  kumpiga miti. Mimi nina mke sipendi hizo kiki,"  Aliandika Khaligraph.

Kama njia ya kujibu madai ya Khaligraph Jones, Huddah aliandika hivi katika mitandao yake ya kijamii.

"Daddy Jones, Nitakupa kisima changu cha asali  ili uachane na mimi!" Aliandika Huddah.

Hapa ni baadhi ya maoni ya watu walioona jumbe hizo.

Barsil:@huddahthebosschick ai na wewe utadi**wa uache kiherehere

Husband: @huddahthebosschick woiyee babe mdi*ye tu ameomba sana

Mao: @huddahthebosschick ni juzi tu ulisema hujui ngoma zake hata moja😂😂 Saa hii umejua Jones ni daddy😂😂😂

Ommy Dimpoz: Heshimu OG 🤣

Mhariri: Davis Ojiambo