Nitakuwa mama soon lakini sio sasa - Vanessa Mdee asema

Mdee
Mdee
Msanii wa Tanzania  Vanessa Mdee  amekana madai kwamba anatarajia kupata mtoto baada ya kuishika mimba ya mpenzi wake Rotimi.

Nyota huyo hata hivyo amesema sasa ataanza kufikiria kuhusu uwezekano wa kupata mtoto na muigizaji huyo. Alikuwa akijibu swali la mashabiki waliotaka kujua endapo amepata mimba ya Rotimi.

‘NO SINA MIMBA BADO, SOON.’  alisema VANESSA

Rotimi ana mipango ya kumuoa  Mdee  kwani ameahidi kuanzisha familia naye hivi karibuni .

Mdee alikuwa katika uhusiano wa muda mrefu na msanii mwenzake wa Tanzania   Juma Jux kabla ya kutengana katika hali ya kutatanishaa miaka miwili iliyopita. Hata hivyo, wamesalia kuwa marafiki.

Vanessa  amekuwa akitoa ufichuzi kuhusu maisha yake kupitia podcasta zake. Maajuzi amekiri kwamba alikuwa mraibu wa pombe na mihadarati na nusra maisha yake yasambaratike kwa sababu ya hali hiyo .

‘I BECAME A PERSON OF HORRIBLE CHOICES. I COULDN’T RECOGNIZE MYSELF ANYMORE BECAUSE I WOKE UP EVERY DAY TRYING TO JUST GET BY AND I DON´T WANT TO JUST GET BY ANYMORE. 

MORE THAN EVER, I HAD MOMENTS OF ANXIETY AND MOMENTS OF DEPRESSION. I HAD MOMENTS OF ‘I DON´T KNOW WHAT TO DO NEXT’ BECAUSE THIS PRESSURE IS UNNATURAL FOR A HUMAN BEING. AND WHAT COMES AFTER THAT?’

 Aliongeza

‘I HID IT SO WELL BUT I WAS DEPRESSED AND AN ALCOHOLIC.

THIS IS MY TRUTH AND ME LETTING YOU INTO THIS SPACE BECAUSE I DON´T WANT TO LIVE A CANDY-COATED LIFE ANYMORE.

I BECAME A ROBOT AND I HAVE NO DESIRE TO BE A ROBOT OR BE UNHAPPY ANYMORE, BECAUSE THAT´S WHAT I WAS, UNHAPPY.

HAD MOMENTS OF ¨WE ARE ENJOYING THIS¨, I HAD MOMENTS OF ¨THIS IS FUN¨, MOMENTS OF ¨THIS IS A BEAUTIFUL DAY¨.’