DJ Mo asifia mahaba baina ya Terence Creative na mkewe Milly

NA NICKSON TOSI

Mcheza santuri DJ Mo amemwandikia ujumbe wa kumsifia mcheshi Terence Creative baada  ya kutundika picha kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii akiwa na mkewe ,picha zilizodhihirisha wapenzi hao nayo wakipigana mabusu.

Baada ya kuweka picha hizo mitandaoni ,Terence aliandika ujumbe huu.

Si kile watu wanasema kuhusu wewe kina umuhimu ,ni kile unachosema kujihusu wewe mwenyewe ambacho kina umuhimu sana,kuna wakati ambao mimi nataka niwe nawe ,na wakati huo ni sasa.aliandika Terence.

DJ Mo ambaye kila mara huandika katika mitandao yake ya kijamii akimsifia mkewe Size 8 ,aliandika ujumbe wa kumhongera mcheshi huyo na kumuandikia kuwa Nyonya hiyo kitu kabisa.

Watumizi wa mitandao ya kijamii nao hawakubaki nyuma kutoa maoni yao ,hapa ni baadhi ya semi zao.

ciara_daizy @djmokenya 🤣🤣🤣🤣woiii🤣🤣

its_kamami @djmokenya 😂😂

fionafionce @djmokenya ile bangi unavuta naitaka

anitawaithira @djmokenya Ghai😂😂

ciku_wa_njenga @djmokenya 😂😂😂 niurathuka reu

millychebby @djmokenya Hahahhaa haki Muraya😊

vernilishia @djmokenya 😂😂uko na ufala

salmabdallah47 @djmokenya anaogopa kutoa lipstick😁😁😁

danny_mburu @djmokenya 🤣🤣😂😂ate kì??😂😂