Betty Kyallo kwenye mitandao ya kijamii aliposti picha akiwa amevalia mavazi ya kuogelea huku akiwa kando ya bwawa la kuogelea au ukipenda 'swimming pool'.
Baada ya picha hiyo walichukua fursa hiyo na kuanza kumkosoa huku wengi wakimkejeli, alitengeneza rinda ndefu ya rangi ambayo Betty alikuwa amevalia mavazi yake ya kuogelea au ukipenda 'Bikini'.
Swali ni je mtu anaweza aje kuogelea na rinda ndefu?Huku akitoa hisia zake kuhusu nguo hiyo aliandika haya,
"I’M ON THE FLOOR AKI THIS IS MY FAVOURITE ONE YET! HADI NIMEPEWA KIBETTY YA BETTY I LOOOOVE KENYAN NETIZENS KESHO I GIVE YOU ANOTHER ONE (DJ KHALED)."
Hizi hapa hisia za wanamitandao;
phelister04 Aaah…Kenyans..aty wakitembea uchi wanavalishwa… we’re fixing this country
mitchy_mich 😂😂😂wacha avalishwe nguo 🤣
Icon Farhan Adam Bille Agents of Sir Goddy dismantling evil spirits ruthlessly!!!
Johnie Ni Johnie serikali imeshindwa but we must put things in order
Julius Amba Muthama She fits number 3….getting old now
Julius Prosperity Very beautiful# “mama kanisa” sa nitakuletea kitambaa
Delta Sanakiss congratulations umevaa sasa Rinda…ile time ulikuwa umevaa panty pekee yake
Sammy Holt Wakivua tunavalishatunasodeka Kenya
James Maina That’s it! We are fixing the nation
Vero Vee Mpaka top Ina match na skirt
Vincent Mutinda Ukifunua tunafunika!
Gacheba Florence Wamuyu We are fixing Kenya