Ogopa wanaume:Mambo ambayo hukuyafahamu kuhusu mkewe Jowie Irungu

Msanii Jowie aliwashangaza wengi baada ya kusema anamke na mtoto mmoja, huku akizungumza haya akiwa kwenye mahojiano alisema kuwa alikuwa anatumia simu ya mkewe wakati aliokuwa anapitia changamoto kwa maana hakuwa nayo.
"ZIKIINGIA KWA ELEANOR NITANUNUA YANGU SASA MIMI NIKO SAWA NA MIMERIDHIKA."

Hizi hapa baadhi ya vitu aambavyo hukufahamu kuhusu mkewe

1.Jina lake kamili ni Eleanor Musangi Ndambo

2.Alikuwa modela mnamo mwaka wa 2016

3.Ni mama wa mtoto mmoja, msichana wake ameonekana katika kibao kipya cha Jowie cha 'Nishikilie'

4.Alimsaidia Jowie alipokuwa amefungwa jela ya kamiti

5.Ni meneja wa Jowie

7. wanatumia namba moja ya simu

8.Alikuwa na Jowie kabla ya Jacque Maribe

9.Zaidi ya yote ni mrembo kupindukia