Mwakilishi wa akina mama wa Nairobi Passaris alijikwatua kwa rinda maalum lisilo na mikono ambalo liliacha wazi sehemu yake ya juu hatua iliyowavutia wengi hasa wanaume katika twitter kummezea mate .
Passaris alivalia rinda hilo wakati wa hafla ya dhifaya chakula kuchangisha fedha katika shule ya Upili ya Maranda . Alipoziweka picha hizo mtandaoni huenda aliwakosesha usingizi wanaume wengi kwani hawakusita kuanza kumchumbia na hata wengi kumwalika kwa date. Passaris kwa werevu wake aliwavuta fikra akiwajibiza kijanja lakini wengine hawakukoma kuendelea kumnata kwa mistari yao . jisomee mwenyewe hapa