Onyo! Wacheni kufuata ushauri wa watu waliopotoka kama Vera na Bridget Achieng, Aoko Atieno awashauri wanawake

pSsvNtrU.jfif
pSsvNtrU.jfif
Mwandishi Aoko Atieno amewaonya wanawake dhidi ya kufuata ushauri wanaopewa na wanasosholaiti wa humu nchini.

Aoko akitumia mfano wa Bridget Achien na Vera Sidika ambao ni baadhi ya wanasosholaiti wa humu nchini wanaoishi maisha ya kifahari kutokana na biashara yao,amesema ni vyema wanawake wa humu nchini kujitenga na ushauri wa kila mara kutoka kwa vipusa hao.

Katika ujumbe wake alioutuma kwenye mtandao wake wa Facebook,Aoko alikuwa anarejelea ujumbe wa Bridget Achieng ambapo kichuna huyo alikuwa amesema kuwa NUNU yake ni ya bei ghali mno.

Kulingana na Mzushi Aoko,tofauti kati ya mwanasosholaiti na kahaba ni idadi ya wateja wanaopata kila siku.

"The only difference between these women and Koinange is that "socialites" parade their goodies to the highest bidder on the streets of Instagram, Facebook and Twitter," aliandika Aoko.

Alimtaka Bridget kukoma kuwapotiosha wanawake wa humu nchini akisema kuwa kisima chake cha asali ni bei ghali mno.

Ameelezea namna Bridget alivyonukuliwa na kituo cha BBC akielezea madhila waliyokuwa wanapitia mikononi mwa wateja wao Dubai .

"The same Bridget cried on BBC that they were made to suck toes of sponsors. In Dubai, the dirty Arabs even s**t on them before they are paid. Why must a woman subject herself to such degrading balderdash just to appear rich? Stop misleading young women with this I am expensive phrase,"  Aoko.

Kama njia ya kutolea mfano mwema kwa jamii,Aoko alimtaja Kim Kardishian kama mwanasosholaiti aliye na heshima na ambaye ameolerwa na kuheshimu ndoa yake.

Kulingana na Aoko ,asilimia kubwa ya wanasoshalaiti wa humu nchini ,wanatamaa ya kuishi namna Kardishian anavyoishi japo hawawezi kufikia kiwango chake.

Amesema kuwa kile wanachofanya ni kudunisha hadhi ya wanawake wa humu nchini japo wako na uwezo mkubwa wa kubadili tabia zao na kuanza kuangazia maswala mengine ya umuhimu.

"Even American socialites you ape like Kim Kardashian is now settled with kids is running her business and went back to school to study Law. What these women are doing is demeaning themselves when they can engage in other constructive ways of earning a living,"  Aoko.