Orodha ya kampuni bora na zinazopendwa nchini 2019, gani ni chaguo lako?

Screenshot from 2019-12-01 11-32-00
Screenshot from 2019-12-01 11-32-00
Tovuti ya matangazo ya kazi ya Brighter Monday imechapisha orodha ya kampuni na ambazo watu wengi wangetamani kufanya.

Katika chapisho lake la kila mwaka, tovuti hii huwa inachapisha orodha kutokana na takwimu wanazokusanya katika mtandao huu.

 Kampuni ya mawasiliano ya Safaricom inaorodheshwa katika nafasi ya kwanza.

Kulingana na tovuti hii, kampuni hii inaongoza katika jumla ya makampuni 100 bora nchini.

Safaricom ni kampuni watu wengi wangetamani kufanya kazi mwaka huu huku ikipigiwa upatu mkubwa na kuheshimika zaidi.

Wafanyakazi wa kampuni hii wanaripotiwa kuridhika zaidi na mazingira ya kazini.

"Tumegundua kuwa wakenya wengi hawafurahishwi na sehemu zao wanapofanya kazi. Wengi wana matamanio ya kubadilisha kazi zao. Ila wana michango na maoni wangependa kutoa kwa waajiri ili kubadilisha mazingira ya kazi..." kilisoma kipande kidogo cha ripoti hiyo.

Hii hapa orodha ya kampuni bora zaidi 2019: