patanisho

Orodha ya patanisho 10 zilizogusa wakenya wengi

Mwezi wa Oktoba mwaka wa 2019, wanajambo walishuhudia patanisho bora zaidi ikilinganishwa na zingine mwaka uliopita.

Patanisho hiyo ilikuwa baina ya mwanadada kwa jina Agnes Njeri na mumewe bwana Basil Wafula.

Njeri alisema kuwa anasombwa na mawazo baada ya mumewe kudai kuwa atarudi kwao Uganda, na kumtenga baada ya wanawake kadhaa kumshambulia kupitia njia ya simu.

Waru vs Salamu! Mamia ya wakenya wafurahishwa na patanisho

Njeri alisema anashangazwa kwani alidai kuwa alimpata Wafula akifanana na mwizi na kumgeuza, siku hizi anafananishwa na MCA.

Isitoshe nikimwambia anasema kuwa mimba ni ya babangu ama ndugu yangu. Gidi huyu mwanaume nilimpata akifanana na mwizi na nikamuosha na kumtengeneza na sasa anafanana MCA.”

Soma patanisho hii hapa:

PATANISHO: Mume nilimbadilisha sahii anafanana na MCA

Hiyo ikiwa patanisho bora zaidi mwaka wa 2019, tunaorodhesha patanisho zingine 9 zaidi.
2.  PATANISHO: ‘Mimi sikutaki hata sikupendi!’ Trizah amfokea Chris

3.  PATANISHO: Mke wangu nampenda kama machungwa! – Mburu
4. PATANISHO: Gidi kama uko upande wa Nancy nitakata simu!
5. Patanisho”Hii kitu hainanga macho”Mzee mwenye umri 57 ajitetea
6. PATANISHO: Utakula sumu ukiendelea kunisumbua!
7. Patanisho:Je atakula kiapo?Binti auza uhusiano wake na mpango wa kando
8. PATANISHO : Alitaka kulipa gunia ya mahindi kama mahari, Wilkister asimulia Gidi
9. Patanisho: Jamaa alalamika baridi imezidi baada ya kumfukuza mkewe
10.  PATANISHO: Nitamrudia Mume wangu mwaka wa 2022

Photo Credits: Amon mwanjala

Read More:

Comments

comments